UINJILISHAJI MPYA CST

Masista pamoja na kikundi cha WAMISTE (Walei Wamisionari Wateresina)Ni tawi jipya lililoanzishwa na Wateresina kwa lengo la kushiriki katika kazi ya

uinjilishaji wakifuata roho ndogo ya Mtakatifu Teresia wa Mtoto Yesu. Wanainjilisha wakiwa kwenye mazingira yao kufuatana na kazi zao

ili kukoleza roho ya Imani kati ya watu wa Taifa la Mungu. Kwa sasa kikundi hiki kipo katika malezi na wana mikutano yao mara kwa

mara Tosamaganga. Wenye wito wa kujiunga Karibuni. mpate maelezo Tosamaganga Nyumba Asili ya Masista Wateresina.

Visitors Counter

170258
Today
Yesterday
This Week
Last Week
This Month
Last Month
All days
188
170
552
168908
3155
3557
170258

PRAYERS

Our Father

Our Father, Who art in Heaven, hallowed be Thy name; Thy Kingdom come, Thy will be done on earth as it is in Heaven. Give us this day our daily bread; and forgive us our trespasses as we forgive those who trespass against us; and lead us not into temptation, but deliver us from evil. Amen.

Prayer for a Sick Person

Almighty and Eternal God, You are the everlasting health of those who believe in You. Hear us for Your sick servant (N...) for whom we implore the aid of Your tender mercy, that being restored to bodily health, he (she) may give thanks to You in Your Church. Through Christ our Lord.

Hail Mary

Hail Mary, full of grace. Our Lord is with you. Blessed are you among women, and blessed is the fruit of your womb,Jesus. Holy Mary, Mother of God, pray for us sinners, now and at the hour of our death. Amen.

Login Form