MKUTANO MKUU - OCTOBER 2019

Katika Misa na semina ya maandalizi ya  Mkutano Mkuu wa 10 wa Shirika. iliyoongozwa na Askofu tarehe 4.Oktoba. 2019

Makao Makuu ya Shirika, Kihesa Iringa

 

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Kumi wa Shirika wakiwa na furaha tele baada ya kupata kitabu cha Sala za Shirika kilichochapishwa

upya baada ya kufanyiwa marekebisho kadhaa.

Padri Egidius wa Shirika la Damu Azizi ya Yesu Kristo katikati ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Kumi wa Shirika. Ni

Mkufunzi wa pili aliyetoa Semina ya Maandalizi ya Mkutano.

Tukio ndani ya Mkutano Mkuu wa Kumi wa Shirika.

Pichani, Mama Mkuu CST akikabidhiwa na Askofu Mshumaa wa Jubilei uliowashwa tangu uzinduzi tarehe 4.Aprili. 2018 kwa lengo

la kuuzima alama ya kuhitimisha kilele cha Jubilei ya Novisiati miaka 50 tangu kuhamia Ulete. Misa iliadhimishwa

Ulete tarehe 22. Oktoba, siku ya kumbu kumbu ya

kifo cha Mons. Francesco Cagliero Mwanzilishi wa  Shirika.

 Wateresina, tujikumbushe tulikotoka, Tulipo na Tunakoelekea.

Zaidi ya uwepo wa Baba Askofu na Viongozi wa Shirika katika picha. mbele ni Wanovisi

ambao ni kielelezo halisi kuwa kila Mteresina alipitia hatua hiyo. Ni nafasi ya kujikumbusha mambo msingi tuliyopata katika vipindi

tofauti na makundi tofauti na ndizo nyenzo zetu muhimu katika utume wetu popote.

a

Matunda ya Mkutano Mkuu wa Kumi wa Shirika.

Katika picha hawa ni Mhashamu Askofu, Mapadri na Viongozi wapya na wa zamani wa shirika wakiwa mbele ya jiwe

lenye kumbu kumbu ya majina ya  wasichana 12 waliojiunga kwa mara ya kwanza mwaka 1931.Leo shirika limekua mfano wa punje ya Haradali

Shukrani kwa Mungu na Kwa Mwanzilishi Mans Francesco Cagliero.

 

 

Visitors Counter

172073
Today
Yesterday
This Week
Last Week
This Month
Last Month
All days
79
157
236
171322
1445
3525
172073

PRAYERS

Our Father

Our Father, Who art in Heaven, hallowed be Thy name; Thy Kingdom come, Thy will be done on earth as it is in Heaven. Give us this day our daily bread; and forgive us our trespasses as we forgive those who trespass against us; and lead us not into temptation, but deliver us from evil. Amen.

Prayer for a Sick Person

Almighty and Eternal God, You are the everlasting health of those who believe in You. Hear us for Your sick servant (N...) for whom we implore the aid of Your tender mercy, that being restored to bodily health, he (she) may give thanks to You in Your Church. Through Christ our Lord.

Hail Mary

Hail Mary, full of grace. Our Lord is with you. Blessed are you among women, and blessed is the fruit of your womb,Jesus. Holy Mary, Mother of God, pray for us sinners, now and at the hour of our death. Amen.

Login Form